Friday, July 3, 2015

Caitlyn Jenner ameorodheshwa miongoni mwa wanawake wenye ushawishi mkubwa Baada ya kubadilisha jinsia na kuwa mwanamke

Mtu aliyejibadilisha maumbile na kuwa mwanamke Caitlyn Jenner ameorodheshwa miongoni mwa wanawake 10 mashuhuri wenye ushawishi mkubwa pamoja na Angelina Jolie,Singer Sia na Anna Wintour.

Orodha hiyo iliyoongozwa na waziri wa kwanza wa Uskochi Nicola Sturgeon inawatambua wanawake ambao wamekuwa wakiathiri uma pakubwa.

Nyota wa kipindi cha Keeping up with the Kardashians Jenner aliyejulikana kama Bruce ameorodheshwa katika nafasi ya saba.
Alibadilisha maumbile yake na kujiita Caitlyn katika jarida la Vanity Fair mwezi uliopita.

Mwanariadha huyo wa zamani ambaye wanawe ni pamoja na mwana wa kambo Kim Kardashian na Kendall Jenner ametunukiwa heshima ya kuonyesha maumbile yake mapya kwa uma.

Roboti lamuua mfanyakazi wa kiwanda cha Volkswagen

Mfanyikazi mmoja katika kiwanda cha kutengeza magari aina ya Volkswagen nchini Ujerumani amefariki baada ya roboti kum'beba na kumuangusha katika chuma
Marehemu mwenye umri wa miaka 22 alifariki hospitalini kufuatia ajali hiyo iliofanyika katika kiwanda kimoja kilichopo Baunatal yapata kilomita 100 kazkazini mwa Mji wa Frankfurt.

Alikuwa akifanya kazi miongoni mwa wafanyikazi wa kandarasi wa kuiweka roboti hiyo wakati ilipomkamata kulingana na na kampuni hiyo ya Kutengeza gari ya ujerumani.
Hatahivyo Heiko Helwig amelaumu makosa ya binadaamu kama sababu ya tukio hilo badala ya roboti hiyo.
Roboti hiyo hutumiwa kubeba vipuri katika kampuni hiyo.

Utaipenda kuisikia ngoma hii ya Dej Loaf na Big Sean: Back Up (Audio)

ifwt_DeJ-Loaf-MAIN
Rapper Dej Loaf ni staa wa Hip Hop wa Marekani anaeyekua kwa kasi sana, alianza kufanya muziki rasmi mwaka 2011 na mwaka 2012 alidondosha single yake ya kwanza iitwayo Just Do It. Mwaka 2014 mwezi Oktoba mwanadada huyu aliachia single yake ya pili, Sell Sole.
Mwaka 2014 Dej Loaf alipata umaarufu mkubwa na single yake ya Try Me na leo amerudi kuziandika headlines za ubaoni na single yake mpya ya Back Up aliomshirikisha rapper maarufu wa Marekani, Big Sean.
Nimekusogezea single hiyo hapa chini, bonyeza play kuisikiliza.

Thursday, July 2, 2015

Madam Rita na BSS 2015, Joh makini na matapeli wa mitandao, Madee kaamua kuacha muziki?…#255 (Audio)

local
Jana Madam Rita alipiga stori na kipindi cha XXL na kusema mashindani ya BSS yatakua yakifanyika kikanda na kila Mkoa watachukua watu watano kama awali lakini pia inategemea kama hakuna anayewafaa kwenye Mkoa husika wanaondoka na kwenda Mkoa mwingine.
Pia amezungumzia kituko ambacho hatakisahau katika maisha yake kwenye mashindano ya BSS ni kijana mmoja ambaye alienda jukwaani akiwa ameweka vinyonga tumboni kisha akawatoa na kuwaweka mdomoni…amesema hawezi kusahau.
madam
Madam Rita
Kingine ni kutoka kwa Joh Makini ambaye baada ya mashabiki wake kudai kutapeliwa hela walizotaka kununua Tshirt za weusi, mwenyewe amesema amesikitishwa na kitendo hicho lakini anashukuru ni mmoja ambaye aliweza kutuma pesa za oda ya Tshirt na kuahidi kumrudishia huku akiwataka watu kuwa makini na akaunti feki ambazo hutumiwa na matepeli kuwaibia.
makin
Joh Makini
Madee naye amesikika akisema anafikiria kupumzika kwenye game muda si mrefu, amekaa kwenye muziki zaidi ya miaka 15 na anaamini hakuna kisichojulikana kupitia yeye kwenye muziki… atatangaza rasmi ni lini na tarehe ngapi ataacha muziki.
made
Madee
Anasema ameona ni vyema kuwapa nafasi wasanii wengine wanaochipukia kwenye muziki kuweza kujulikana na kupata nafasi.
Wasikilize hapa wote mtu wangu…

Interview.ukweli kuhusu Uhusiano wa kwanza wa Meek Mill na mwanamke maarufu?

mmmm
Rapper Meek Mill aliziandika headlines siku chache zilizopita baada ya kuachia single yake mpya ya All Eyes on You aliomshirikisha girlfriend wake Nicki Minaj na Chris Brown.
IMG_2387
Stori mpya leo ni kwamba Meek Mill amefanya interview kuzungumzia single yake na uhusiano wake na msanii Nicki Minaj. Kwenye interview hiyo Meek Mill alikuwa na haya ya kusema:
meek-mill-studio-480x319
 “kuwa studio na Nicki sio issue kabisa, kwasababu yeye akiwepo mimi siwezi kuwa huru kufanya uchizi niliozoea kufanya nikiwa studio, yeye akiwepo aibu inakuwa kubwa mno, utakuaje serious kwenye kuingiza vocal kama demu wako amekaa hapo!”
MMMMMMM
“wimbo wa All Eyes On You ulikuwa ni wazo la Nicki, yeye ndiye aliyetengeneza ile single, alieyechagua beats na kunishauri namna ya kuingiza vocal zangu na zake, alikuwa tayari ana ramani ya kuifanya iwe radio hit. Mimi naimba navyojiskia tu.”
Screen-Shot-2015-02-06-at-11.08.08-AM
 “Huu ni uhusiano wangu wa kwanza na mwanamke maarufu, mara ya kwanza mahusiano yangu ya kimapenzi kuwafuatiliwa na media, hiki kitu mimi kinaniboa sana,na mara nyingi nikiwa na  Nicki namuomba tuwe tunaweka mambo yetu private”
Kama bado hujaisikiliza single mpya ya Meek Mill, nimekusogezea hapa chini.

Barnaba kuuza Album yake kwa dola 100 sawa na shilingi Laki mbili za Kitanzania, Msikilize hapa

star wa muziki Barnaba, amejinadi kuwa albamu yake mpya itaingia sokoni kwa bei ya dola 100 ama zaidi, pesa ambazo zinakadiriwa kufikia shilingi laki 2 za Tanzania kwa nakala 1.
Mkali huyo amekuwa akijiamini kutokana na ubora wa nyimbo, utofauti na uwekezaji mkubwa anaoendelea kuufanya kukamilisha kazi hiyo.

Barnaba ameeleza kuwa, baadhi ya rekodi kutoka albam hizo zimekwishapelekwa nchi mbalimbali ikiwepo Afrika Kusini na Ujerumani kwaajili ya 'Mastering', zikitarajiwa kutoka kwa mfumo wa DVD, na vile vile CD za kawaida, kwa bei hiyo ambayo hata hivyo amesisitiza kuwa inaweza kuongezeka zaidi.

Tuesday, June 30, 2015

FETTY WAP FT SKY LYNN – JUGG TO FINESSE, NEW MUSIC

Fetty Wap keeps his momentum rolling as he drops off a new singe today titled “Jugg To Finesse” featuring Sky Lynn, check out the new Fetty Wap track below!

Tuesday, June 23, 2015

New Music: Pakua video, Tiffany Evans feat. Fetty Wap – ‘On Sight’

 On SightR&B sensation Tiffany Evans connects with “Trap Queen” hitmaker Fetty Wap for “On Sight,” the first single from her upcoming EP All Me. The two show off their chemistry on the fun and flirty track.
“When I started writing the song, I kept getting nostalgia. It took me to a place where I just wanted to dance and be cool. No stress,” said Evans.


“I instantly thought of Fetty Wap when I was recording the ‘On Sight,'” she added. “The tone of his voice is crazy to me, so I knew it would make perfect sense to put him on the record. He just naturally has that vibe that I was looking for.”
All Me serves as the follow-up to Tiffany’s 2013 EP 143 (I Love You).

Saturday, June 20, 2015

DOWNLOAD NEW VIDEO, JUICY J FEAT. WIZ KHALIFA & R. CITY – ‘FOR EVERYBODY’



Juicy J sets off the weekend with the video for his strip club slapper “For Everybody” featuring Wiz Khalifa and R. City. In the partly-animated clip, the Memphis rapper brings out the super freaks—and calls out the hoes—while rapping in front of the American flag. Wiz blazes up and scantily-clad ladies drip gold.

Juicy is currently on his 25-date “Hustle Continues” tour. His album THC: The Hustle Continues is due later this year.