Monday, June 15, 2015

NDIO HAYA ALIYO YASEMA LADY JAYDEE KWENYE MAADHIMISHO YA SIKU YAKE YA KUZALIWA

Ikiwa leo ni siku ya kuzaliwa kwa Lady Jaydee hivyo kupitia ukurasa wake wa Instagram amendika hiki.
"Leo ndio bday yangu sasa June 15th Jana ilikuwa party tu Am a proudly Gemini. Na huyu ndio mtu pekee ninae ishi nae ndani ya nyumba tuko wawili tuuuuuu. Nikianguka ndio atakuwa wa kwanza kutoa taarifa msimuone hivi anajua kiiiiila kitu na anaongea kama mtu mzima."

0 comments:

Post a Comment